Hii ilikua pale Mpelo Kapama na kundi lake walipofanya live project ndani ya Tuners Production. Kulikua na akina Amani Kapama, Bomby Johnson, Daniel Mbepera na wengine wengi. Album mpya ya Mpelo Kapama. Kaa tayari.
Tuners Production
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
Piga simu Number 0713 246084
Saturday, November 29, 2014
Thursday, August 14, 2014
Gazuko na Mwasabwite
Gazuko na Mwasabwite
Ni ujio mpya wa Gazuko Junior au Preacher Gazuko ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake unaoitwa Acha kulia ambao umeingia katika tuzo za Nyimbo za Injili Africa akishindanishwa na waimbaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
Sasa Preacher Gazuko anakuja na wimbo mpya uitwao Ombi Langu ambao amemshirikisha mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili aitwae Edson Mwasabwite ambae anatamba na wimbo uitwao Ni kwa Neema na Rehema.
Wimbo huu (Ombi Langu) umerekodiwa ndani ya studio bora za Tuners Production na siku ya Jumamosi tarehe 16/08/2014 wimbo huu utaanza kusikika rasmi ndani ya vituo mbalimbali vya redio hapa nchini Tanzania pamoja na nje ya nchi..
Edson Mwasabwite na Producer Edwin Mrope
Endelea kumpigia kura Gazuko kupitia http://www.africagospelawards.com/ ili Tanzania iibuke na tuzo kupitia Gazuko...
Gazuko
Friday, August 1, 2014
Multi Talented Kid
Jonathan Shemsanga
In Tanzania we have a lot of young kids blessed with gifts and talents from God. Jonathan Shemsanga is only 15 years old and he has shown a great passion for music. He can sing very well, he can play several music instuments like Keyboard, Bass Guitar, Drums and even Lead Guitar.
Tuners Production saw his talents and decided to work with him making sure he records his first album.
Starting from the bottom we have already recorded one song and soon we will start recording the second one. Stay tuned.
In Tanzania we have a lot of young kids blessed with gifts and talents from God. Jonathan Shemsanga is only 15 years old and he has shown a great passion for music. He can sing very well, he can play several music instuments like Keyboard, Bass Guitar, Drums and even Lead Guitar.
Starting from the bottom we have already recorded one song and soon we will start recording the second one. Stay tuned.
Thursday, July 31, 2014
Music Instruments for sale
Mixer (Yamaha PM 3000)
Keyboard (Yamaha PSR 9000)
Music Instruments FOR SALE. Mixer au Mixing Board aina ya Yamaha PM 3000 pamoja na kinanda aina ya Yamaha PSR 9000 vinauzwa... Piga simu namba 0713246084 kwa maelezo zaidi....

Wednesday, July 30, 2014
Tuners Production is welcoming you to record, learn music and experience best quality production. In Kiswahili we say "karibuni watu wote." Our studio is located at Mikocheni, Dar-es-Salaam near Shoppers Plaza. You can like our page on Facebook, Tuners Production, you can also call us on these numbers 0713246084 or 0716316857 or you can send us an e-mail tunersproduction@gmail.com.
Tuesday, July 29, 2014
Edwin Mrope
Down here is a video of Edwin Mrope making beats at the Studio.
Monday, July 28, 2014
![]() |
Dunstan Baji |
Subscribe to:
Posts (Atom)